Friday, May 18, 2012

HUU NI UJUMBE WANGU WA IJUMAA YA LEO!!!

Unajua kwamba:- Kuna uwezekano ya kwamba umekuwa katika miujiza mingi, ambayo huaminika kuna nguvu nzuri ndani yake....IJUMAA NJEMA WANDUGU!!!

6 comments:

ray njau said...

Hapa nimesoma lakini naomba nipate mwalimu wa kutoa ufafanuzi maridhawa.

Anonymous said...

miujiza ipo, ila changamoto ni nyingi hadi kuna wakati tunanasahau kuwa Mungu ni mwema na ametutendea miujiza mingi! kwa leo naomba niseme hivyo tu, na pia nimshukuru kwani bila yeye, sijui ingekuwaje.

sam mbogo said...

Nakubaliana nawewe,Da,Yasinta.katika maisha kuna miujiza ambayo hututokea,wakati mwingine bila hata kutambuwa imekuwajekuwaje hicho kitu kuwa/kutokea.kiukweli kunanguvu ndani yake ambayo inatokana na uwezo wa mungu,kwa wale wanao amini mungu yupo.katika hali ya kawaida kimaisha, mimi huamini kila kinitokeacho ni kwa mapenzi ya mungu.ila kamabinaadamu nina mchango wangu katika kuyafanikisha hayo yawe au yasiwe.lakini mwisho wayote ukomo wa binaadamu upo na nguvu za mungu zipo.kaka s.

ray njau said...

Sasa Yehova akamwambia Musa na Haruni: “Ikiwa Farao atanena nanyi, na kusema, ‘Jifanyieni muujiza,’ basi utamwambia Haruni, ‘Chukua fimbo yako, uitupe chini mbele ya Farao.’ Itakuwa nyoka mkubwa.” Kwa hiyo Musa na Haruni wakaingia ndani kwa Farao na kufanya sawasawa na vile ambavyo Yehova alikuwa ameamuru. Basi Haruni akaitupa chini fimbo yake mbele ya Farao na watumishi wake nayo ikawa nyoka mkubwa.Hata hivyo, Farao pia aliwaita watu wenye hekima na walozi; na makuhani wa Misri wenye kufanya uchawi nao pia wakafanya jambo hilo hilo kwa ufundi wao wa uchawi.Kwa hiyo kila mmoja wao akatupa chini fimbo yake, nazo zikawa nyoka wakubwa; lakini fimbo ya Haruni ikameza fimbo zao. Bado, moyo wa Farao ukawa mkaidi, naye hakuwasikiliza, kama Yehova alivyokuwa amesema._ Kutoka 7:8-13

Rachel Siwa said...

Yeye Atosha maishani Akuna wakufanana naye, Anaanawezaaa Anaaana tosha.Asante na iwe Ijumaa njema pia kwa wooote, nawe na baba Erik na wanangu pia.

Wako Mtiifu Kachiki.

ray njau said...

Angalizo hapa kuhusu miujiza:
SIYO MIUJIZA YOTE INATOKA KWA MUNGU MWENYE ENZI YOTE.