Hapo kale kupata ugali uwe wa ulezi, mtama,mahindi au muhogo hiki ndo kilikuwa kinu cha kusagia ili kupata unga. Kama nakumbuka vizuri juzi tu nimeona huko India bado wanatumia kusagia mchele ili kupata unga wa mchele........
..na baadaye baadaye tukapata mashine ...na mikono ikawa inapumzika kidogo. Sijui wenzangu mie binafsi nilikuwa mzembe sana hasa kukoboa mahindi. ...je? kuna kifaa kingine zaidi ya hapa unafiri?