Friday, April 19, 2019

TUWE WATULIVU KWA SIKU HII YA IJUMAA KUU HUKU TUKIFSNTA MAOMBI. ...

Bwana yetu Yesu anateseka msalabani kwa ajili yetu. Ijumaa kuu iwe yenye amani!

Thursday, April 11, 2019

HAPA NI VAZI LA WIKI HII CHUICHUI NA NYEUSI

Mdada yupo katika pozi fulani hivi kwa kulifurahia vazi laki 
...hapa kaambiwa asilale/sinzia  
Nachukua nafasi hii kuwatakieni juma njema, amani na furaha na pale upatapo wasaa wakumbuke wapendwa wetu/wako. TUPO PAMOJA:-)

Friday, April 5, 2019

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA IJUMAA NJEMA .....

....pia mwisho wa juma kwa ujumla kwa mlo huu. UJUMBE:- Maisha sio kama mshumaa , maisha ni kama mwenge.
PANAPO MAJALIWA TUTAONANA NAWATAKIENI KWARESMA NJEMA. Kapulya.

Monday, April 1, 2019

TUANZE MWEZI HUU WA NNE TAREHE HII MOSI MWAKA 2019 NA MLO HUU WA DAGAA

Duh! Yaani watu wanajua kutamanisha. Niwatakieni mlo mwema wenye afya...