Lugagara , ipo katika Kata ya Kilagano , Songea Vijijini , Mkoa wa Ruvuma Lugagara ni kijiji ambacho kipo nje ya Songea karibu na Peramiho katika Kata ya Kilagano . Kijiji hiki kina Wakazi wasiozidi 3,700.
Wanafunzi wa shule ya msingi Lugagara wakiwa ndani ya mapozi:-) Nimekumbuka mbali kama vile najiona hapo....