Showing posts with label miilima ya uruguru. Show all posts
Showing posts with label miilima ya uruguru. Show all posts

Wednesday, May 25, 2016

LEO TUTEMBELE MOROGORO MJI KASORO BAHARI NA MILIMA YAKE....

Milima ya Uluguru ileeee...
Kilichonipendeza hii picha/taswira ni huu udongo mwenkundu pia shamba la mahindi...nimekumbuka mbali sana

Hapa tunaona milima ya Uluguru na shamba la katani....Najua wengi wetu tunakumbuka historia ya mashamba ya katani...