Habari zenu ndugu zangu!
Jana jioni nilijikuta nashangaa au zaidi kama nimepotea pale nilipotembelea blog ya Maisha na Mafanikio. Nini kimetokea sijui kwa kweli ..Je kuna anayejua?...Natumaini ile rangi ya pink itarudi nawaomba kuwa na subira. Na endapo haitarudi basi nitafanya utafiti ni nini kimetokea na nitarekebisha.
Kama kunaanayejua nini kimetokea TAFADHALI tupeane habari.
NAWATAKIENI WOTE SIKU NJEMA.
Showing posts with label blog. Show all posts
Showing posts with label blog. Show all posts
Thursday, June 20, 2013
Friday, June 7, 2013
MWONEKANO MPYA WA BLOG YA KAKA MFALME MROPE!!!
Ndug zangu habari za leo!
Nadhani wote mu-wazima wa afya njema. Dhumuni langu leo ni kutaka kuwapa habari au kuwaambia ya kwamba blog ya http://tustaarabike.blogspot.se/ imebadili muonekano na imehamia au inaitwa sasa http://jehuuniuungwana.com/....na mmiliki ni yuleyule kaka Mrope.
Nawatakieni kila la kheri na kila jambo mtakalofanya..Ijumaa yenu iwe yenye amani. Kapulya:-)

Subscribe to:
Posts (Atom)