Showing posts with label Remmy. Show all posts

Friday, August 29, 2014
NAPENDA KUWATAKIENI MWISHO MWEMA NA KIPANDE HIKI CHA MZIKI ........ASILI YA MZIKI
Hakuna mwanamziki ambaye alikuwa akimba na wengi wakimwelewa anasema nini. Katika nyumba hii Remmy anapendwa sana...kwa hiyo nimeona leo tumkumbuke/tumuenzi. MWISHO WA JUMA UWE MWEMA KWENU!!
Sunday, July 29, 2012
BLOGG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMEONA TUMALIZE JUMAPILI HII NA DR. REMMY ONGALA ..KILIO!!!
NAWATAKIENI KILA LA KHERI.....
Thursday, September 22, 2011
Tamasha Maalum la Kumuenzi Hayati Dr. Remmy Ongala
Salam,
http://www.youtube.com/watch?v=huNcBwH9_UQ
Aziza Machozi Ongala na mumewe Miael McGeachy, mzawa wa Jamaika, wakiongea na Urban Pulse na Freddy Macha kuhusu shughuli zao kuimarisha kumbukumbu na kazi za mwanamuziki Remmy Ongala aliyefariki Desemba 2010, mjini Dar es Salaam.
Mahojiano yalifanywa katika Ubalozi wa Tanzania, London.
Habari zaidi bofya : http://www.thedkremmyongalafoundation.com/
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE Wakishirikiana na Freddy Macha

Monday, December 13, 2010
Wednesday, July 8, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)