Showing posts with label Mlo aupendao kapulya. Show all posts
Showing posts with label Mlo aupendao kapulya. Show all posts

Wednesday, June 15, 2016

NIMEOTA NDOTO NIPO LUNDO/NYASA NAKULA UGALI KWA SAMAKI NA KISAVU... MLO AUPENDAO KAPULYA...

Nilipoamka kumbe sio...maana hapa nilipo hata unga sina wa kusonga huo ugali sina. Nitabaki kula kwa macho tu......Ngoja nikatafute unga......