Showing posts with label wanawake hapo kale. Show all posts
Showing posts with label wanawake hapo kale. Show all posts

Thursday, October 12, 2017

YA KALE NI DHAHABU...YAANI YA KITAMADUNI HASA

Ebu tuangalie kuanzia mavazi hadi mitindo ya nywele ...nimependa sana hii. Yabidi tuienzi ndugu zanguni...
...hapa pia ule mtindo wa kutwanga watatu watatu nimekumbuka mbali sana ...yaani mpaka raha..