Showing posts with label nguo pendeza. Show all posts
Showing posts with label nguo pendeza. Show all posts

Tuesday, May 15, 2012

NIMELIPENDA HILI VAZI NA NALITAKA...

...Si mnajua kijani...naipenda mno rangi hii . Yaani hapa Dada Jennifer Lopez duh! amemechisha kweli, ametoka chicha...

Friday, March 2, 2012

NIMELIPENDA SHATI HILI ALILOVAA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE

Nimelipenda sana hili shati ningemfahamu alishona au chora ningemtafuta safi sana........



...Limeonyesha rangi zote za BENDERA TAIFA YA TANZANIA ingawa kwa mtindo wake wa kipekee..Nimelipenda sana..KILA LA KHERI JAMANI...

Thursday, December 17, 2009

DUH! NIMERUDI KUTOKA KUSUKA LEO 17/12-09

Mwanadada /mwanamama karudi toka kusukwa!!!
Kazi kweli kweli nilianza kusukwa hizo nywele saa sita mchana na ilipofikia saa kumi na moja jioni ndo kazi iliisha. Bahati mbaya msusi amekataa kuwa kwenye picha la sivyo mngeona jinsi nilivyopata mateso. Lakini ndo hivyo kuna msomo unasema:- Ukitaka kupendeza lazima uvumulie mateso:-) (Vill vara fin får du lida pin) Na kizuri zaidi picha hii ya leo kapiga binti yangu.

Wednesday, October 29, 2008

FLAVIANA AKIWA AFRIKA YA KUSINI

Hapa sisemi sana ila angalia tofauti na picha za hapo chini.