Thursday, December 17, 2009

DUH! NIMERUDI KUTOKA KUSUKA LEO 17/12-09

Mwanadada /mwanamama karudi toka kusukwa!!!
Kazi kweli kweli nilianza kusukwa hizo nywele saa sita mchana na ilipofikia saa kumi na moja jioni ndo kazi iliisha. Bahati mbaya msusi amekataa kuwa kwenye picha la sivyo mngeona jinsi nilivyopata mateso. Lakini ndo hivyo kuna msomo unasema:- Ukitaka kupendeza lazima uvumulie mateso:-) (Vill vara fin får du lida pin) Na kizuri zaidi picha hii ya leo kapiga binti yangu.

18 comments:

Faith S Hilary said...

1. Rasta zinakutoa kweli dada.
2. I am impressed with your daughter's photography
3. Kweli ukitaka urembo lazima uvumilie maumivu maana kina sie na hizi nywele zetu mmh!

Koero Mkundi said...

Hapo sasa sawa...

Anonymous said...

mependedha binti wewe!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

huyo msusi umemtoa wapi nami nipeleke bichwa langu kama madenge?....lol

haki ya nanihiino umependedha....lol!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Madengeeeeeeeeeeeeeeeeee. Chcha bwana!

Yasinta si uwe rasta tu??

Bennet said...

Mtaka cha uvunguni sharti ainame, umependeza

Mija Shija Sayi said...

Yasinta umesukwa na mkongoman au?

Umependeza sana, binti yako nadhani anataka kumridhi mjomba wake Michuzi, amefocus vizuri theme yenyewe, nywele zimeonekana vizuri.

Simon Kitururu said...

Listi yangu ya kupendeza kwa mwanadada huyu:

Mmechisho wa soksi na kificha eneo la juu ya kiuno mpaka shingoni. -TICK

Suruali iendanavyo na muonekano wa Mwanadada.
-TICK

Nywele na FULU PAKETI

-TICK




``Umependeza sana Mwanadada!´´

-baada ya sentensi hiyo najilamba kidogo.:-(

Anonymous said...

Umependeza dada tena sn tu

Unknown said...

Ambiere Kitururu hapo umenena.....

Markus Mpangala. said...

RASTA=mia kwa mia
MAVAZI=mia kwa mia
MDOMO=mia kwa mia
TABASAMU= mia kwa mia

subiri kwanzanimalizie...kunamdudu ananinyevuanyevua, sijui....Lol....

malkiory said...

Hapa xmas imependeza!

Nmpangala said...

Mlongo nami namtaka uyo fundi woko maana umedolongwa kwelikweli.

Anonymous said...

TULIJADILI HILI WATANZANIA

DADA YASINTA HABARI YA KAZI NAOMBA TUJADILI HILI ,HIVI HIII SERIKALI YETU INAJUA KUNA BAADHI YA MAKAMPUNI BINAFSI HAIWAPI WAFANYAKAZI LIKIZO?WANALIPA NSSF YA MFANYAKAZI TUU YEYE MWAJIRI HAWEKI?UKIACHISHWA KAZI HUNA UNALOLIPWA?UKISHITAKI HUNA UNALOPATA KWANI WANAHONGA MNO?JE TUTAFIKA KWELI?

Nicky Mwangoka said...

Hongera sana da Yasinta, na kweli umependeza, tena hii bado xmas mbona tutakukoma

Yasinta Ngonyani said...

Asanteni wote kwa maoni yenu mazuri. Kwa kuona nimependeza. Lakini kumbukeni ni kazi kwelikweli kumpata msusi hapa ila nina msusi wangu ndo maana amenidolonga hivyo. Nawapendeni wote na ni raha sana kuwa nanyi hata kama hatujawahi kuonana lakini kimawazo na kifkra tupo pamoja kama familia moja. Upendo Daima.

John Mwaipopo said...

picha inaonyesha ni jinsi gani ulivyoipania krisimasi.

obat telat bulan said...

obat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec