Showing posts with label muuza samaki na mteja. Show all posts
Showing posts with label muuza samaki na mteja. Show all posts

Friday, March 20, 2015

CHEKA UNENEPE: KUTANA NA MUUZA SAMAKI MKOROFI NA MTEJA MWENYE MASWALI!!

MTEJA; Samaki bei gan?
MUUZAJI; 5000!
MTEJA; Mwisho?
MUUZAJI; Mkiani!
MTEJA; Mbona samaki mwenyewe kalegea hivyo?
MUUZAJI; Muulize labda alikuwa shoga baharini!  
MTEJA;M bona una majibu ya shombo lakini?  
MUUZAJI; Kwasababu nauza samaki ingekua nauza sukari majibu yangekua matamuu.
NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA!!