Showing posts with label vyakula vya asili. Show all posts
Showing posts with label vyakula vya asili. Show all posts

Wednesday, October 6, 2021

VYAKULA VYA ASILI NI MUHIMU SANA

Tusisahau vyakula vyetu vya asili. Maana hapo utakuwa umesahau ulikotoka.

Sunday, October 13, 2019

VYAKULA AVIPENDAVYO KAPULYA...SAMAKI NA VYOTE VYA ASILI HASA VYA KUPIKIA KWENYE VYUNGU

 Ni aina ya samaki kama hujaonja jaribu
Na hapa ni vyakula mbalimbali  vya asili viöivyopikwa kwenye vyungu utamu wake ni ngumu kuelezea  bora uonje mwenyewe.

Tuesday, September 12, 2017

VYAKULA AVIPENDAVYO KAPULYA WENU ...AU KUNA MWINGINE ANAPENDA KAMA MIMI??

NI WALI NA KUNDE...KWETU UNGONINI TWAITA (NGUNDI MANGI)
Baada ya chakula nilipenda sana haya matunda ...kwa mara nyingine tena kikwetu twaita MADONGA....
Nikikosa hivyo basi nakula uyoga....Je wewe kuna chakula hujala siku nyingi na sasa watamani kukila? Nawatakieni wote jioni njema!!!

Friday, March 31, 2017

KUMBUKUMBU...VYAKULA NIVIPENDAVYO..MWISHO WA JUMA PIA MWEZI UWE MWEMA....


 Mboga ya maboga...Karibuni nitaanza bustani yangu hii ni kaka yangu kanitumia ili nitamani zaidi:-) na kweli nimetamani sana na mpaka nimepitiliza na kutamani .....
...ugali na mlenda pori..duh! nimekumbuka mbali sana.... kila la kheri na mwisho wa juma mwema  pia mwishi wa mwezi...