Tuesday, February 20, 2018

MSIMU HUU NI MSIMU MZURI SANA KWA VYAKULA VYETU VYA ASILI KAMA MAHINDI, MABOGA NA VINGENE VINGI VINGI.....

Leo nimetamani sana mahindi ya kuchoma na...
...pia maboga  

4 comments:

Juma Mtwana said...

Nimependa maboga sana

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Juma mimi napenda vyote na hasa mahindi ya kuchemsha yakichemshwa pamoja na maboga:-)

ray njau said...

Afya za zetu zinazidi kuzorota kutokana na miili kukosa virutubisho asilia vinavyotokezwa na vyakula asilia.
Nimedokezwa kuwa magonjwa mengi yasiyoambukiza chanzo chake ni watu kubadili maisha asilia na kuigia kwenye mitindo maisha isiyo na mashiko kiafya.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray nakubaliana nawe...yatupasa wakati mwingine tunapoiga maisha ya wengine tuchagua yale yenye faida na misingi na sio kuiga na utakuta wakati mwingi hayo tuigayo kwa hao tuwaigao huyakwepa....