Showing posts with label mambo ya kale yalikuwa bora. Show all posts
Showing posts with label mambo ya kale yalikuwa bora. Show all posts

Monday, January 23, 2017

ZILIPENDWA..UNAKUMBUKA HIVI?

FANTA SIO FANTA TU  BALI HAZIKUWA ZIKICHAKACHULIWA
Nakumbuka sana haya makopo vilikuwa na ubora sana hivi vitu, siku hizi duh! kaaazi kwelikweli...sijui  wenzangu mnasemaje?