Tuwe waangalifu tuwapo barabarani hii ni hatari sana kwa mwendesha pikipiki na mteja pia wapita njia.
NACHUKUA NAFASI HII KUWASHUKURUNI KWA USHIRIKIANO WENU MZURI DAIMA NA HASA MWEZI HUU ULIOISHA NA PIA TUUKARIBISHE MWEZI WA KUMI NA MOJA KWA FURAHA. PIA TUSISAHAU KUKUMBUKANA:-)...Kapulya.
Showing posts with label mwisho wa mwezi. Show all posts
Showing posts with label mwisho wa mwezi. Show all posts
Wednesday, October 31, 2018
Thursday, April 30, 2015
TUUMALIZE HUU MWEZI WA NNE NA KIPANDE HIKI CHA MZIKI WA DUNIA NI MSONGAMANO- NDALA KASHEBA
Napenda kuchukua fursa hii na kumshukuru Mungu mwezi umeisha vizuri bila misukosuko mingi sana. Natumaini na ninyi ndugu zangu ilikuwa hivyo. Natumaini tutauanza mwezi wa tano vema.
UJUMBE:- HONGERA KWA WALE WOTETIMIZA MIAKA MWEZI HUU NA PIA POLE SANA KWA WALE WOTE WALIONDOKEWA NA WATU WAO/WETU WA KARIBU. Kapulya wenu.
Wednesday, April 30, 2014
TUMALIZA MWEZI HUU WA NNE NA MOROGORO JAZZ BAND- DAR ES SALAAM...
MWEZI NDO UMEISHA NA KESHO TWAANZA MWEZI MPYA NA NI NI SIKUKUU YA WAFANYAKAZI MEI MOSI...TUPO PAMOJA....
Friday, February 28, 2014
MWEZI WA PILI/FEBRUARI NDO UNAISHA LEO NAMI NIMEONA TUMALIZE KWA NYIMBO HIZI TATU...KUHUSU WAIMBAJI NA MIJI WALIYOZALIWA...KAPULYA NAYE ANATAKA KUIIMBA SONGEA:-)
Na hapa je?
Au labda hapa
Je? wimbo upi wewe umeufia zaidi...Mimi bwana ningekuwa na sauti kama zao ningetunga nami Songea All Stars...Songea ...Songea ...tunayo furaha kuwa wazaa wa Songea...Mhhhh ngoja niwasake waimbaji wote kutoka Songea tuanze hili zoezi. Hivi wapo kweli?
NAWATAKIENI WOTE MWISHO HUU WA MWEZI UWE MWEMA ...TUONANE TENA PANAPO MAJALIWA MWEZI UJAO!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)