Showing posts with label RAMANI YA KAHAWA. Show all posts
Showing posts with label RAMANI YA KAHAWA. Show all posts

Monday, May 9, 2016

JUMATATU HII TUANZE NA PICHA HII ....RAMANI YA AFRIKA KWA MTINDO HUU....

Ramani ya Afrika kwa kutumia Kahawa...nimependa ubunifu huu...ndani ya ungo sisi wangoni tunasema ungo...lupalu....NAWATAKIENI WOTE JUMATATU NJEMA. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA!