Kanisa hili la Wino lina historia yake fupi katika familia ya akina Ngonyani. Ni kwamba baba yangu mkubwa ameshiriki ujenzi wa kanisa hili. Basi kwa kahistoria haka kafupii napenda kuwatakieni wote JUMAPILI NJEMA pia kumbukeni mfungo wa PASAKA umeanza....Ni mimi Kapulya!!