Mlo wa pamoja, kulikuwa na vyakula mbalimbali kama vile nyama choma nk. Ilikuwa ni furaha sana kwa kweli....
Baada ya kula muda wa kuondoka wagen ulifika lakini hakuwa vizuri kuondoka tu bila kuacha ukumbusho wa. Ndiyo kama muonavyo ila wawili walikuwa wapiga picha...
Nawatakieni siku njema!