Showing posts with label SIKU YA UHURU TANZANIA 2015 usafi. Show all posts
Showing posts with label SIKU YA UHURU TANZANIA 2015 usafi. Show all posts

Wednesday, December 9, 2015

LEO NI TAREHE 9/12 AMBAYO N I MIAKA 54 YA UHURU TANZANIA ...LAKINI MWAKA HUU RAIS KASEMA WANANCHI WOTE KATIKA SIKU HII WACHUKUE MUDA NA KUFANYA USAFI...

Na kama unavyoona katika picha wananchi wapo bega kwa bega katika zoezi hili la usafi katika hii siku.  Halafu naona hata Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwete naye  hayupo nyuma....