HONGERA KUTIMIZA MIAKA 14 ERIK
Nachukua nafasi hii na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa nguvu sisi wazazi/walezi kwa kuweza kumlea mtoto/kijana Erik na leo ametimiza miaka kumi na nne/14. Hakika miaka inaenda nikiwa kama mama naona kama ilikuwa juzi tu alizaliwa kijana huyu. Mwenyezi Mungu azidi kuwa naye katika masomo, na mengine yote afanyayo ili yawe mazuri. Ampe oyo wa upendo kwa walezi, ndugu jamaa na marafiki. Samahani nimeshindwa kupata picha yake yupo shule. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERIK!
Showing posts with label hongera ERIK. Show all posts
Showing posts with label hongera ERIK. Show all posts
Tuesday, June 3, 2014
Monday, June 3, 2013
JUMATATU YA LEO TUANZA NA KUMPA HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERIK!!!!
Twapenda kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kumjalia kijana Erik afya njema. Na leo hii tarehe hii ndio ametimiza miaka 13...HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KIJANA ERIK...Na twakutakia mafanikio mema kwa yote unayotarajia kufanya.
Sunday, June 3, 2012
LEO KIJANA ERIK ANATIMIZA MIAKA 12...HONGERA ERIK!!!
Tarehe kama ya leo 3/6/2000 familia iliongezeka, alizaliwa kijana huyo Erik na leo hii anatimiza miaka 12. Erik, sisi wazazi, dada, ndugu pia marafiki wote tunakutakia kila la heri katika yote unayofanya. Kama vile masoma, yako, kwa vile unapenda sana michezo kama vile mpira wa miguu, flow boll na michezo mingine basi tunakutakia juhudi snyingi. Erik anasoma darasa la tano kwa sasa karibu ataanza la sita. Mwenyezi Mungu na akubariki uwe mtiiifu, mwenye juhudi kimasoma na mengine yote. DUH! KAMA MCHEZO LEO MIAKA 12. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERIK.!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)