Monday, June 3, 2013

JUMATATU YA LEO TUANZA NA KUMPA HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA ERIK!!!!

Twapenda kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kumjalia kijana Erik afya njema. Na leo hii tarehe hii ndio ametimiza miaka 13...HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KIJANA ERIK...Na twakutakia mafanikio mema kwa yote unayotarajia kufanya.





21 comments:

emuthree said...

HONGERA SANA UNCLE WANGU-ERIK, kwa siku yako ya kuzaliwa. Leo ni siku muhimu sana kwako. Mungu akupe afya,akujaze hekima, akupe uadilifu na mafanikio mema katika maendeleo yako.

MTU KWAO said...

HONGERA MJOMBA KWANI UNAONYESHA UMEKUWA SASA NA HII DADA NAWE WAONYESHA UMESHA KUWA MTU MZIMA SASA Nilazima kuwalea wajomba katka hali ya upendo ,mpe mtoto atakacho ili kesho awe mwakilishi mzuri wa taifa lake najua naye atajivuna kuwa anawakilisha taifa lake SOUTH NYASALAND ,UWE NA siku njema NIKUITE KAPULYA AU KADALA nakuchokoza kwa kusudi tuuuuuuu
CHe Jiah
MTU KWAO

ISSACK CHE JIAH said...

Hapo Dada Yasinta mimi binafsi nakupa hongera kwa kazi kubwa iliyoifanya ya kumlea mtoto mjomba wetu, mpe salamu mwambie wajomba wote wanafurahii nawe tunajuwa siku hiyo uliyo mzaa mtoto jinsi ulivyokuwa na furaha baada ya kujifungua mtoto dume la nguvu ulitabasamu na kujipa ujasiri wa kila aina ,leo hii lazima uwe na raha ukimwona mtoto akikuwa bila tatizo hasa pale anapokuwa na Afya mzuri HONGERA SANA DADA MBOGO,RECHEL,KARIBUNI TUMPONGEZE KAPULYA WETU
CHE JIAH

ray njau said...

Mtoto ni mtoto kwa mama hakui ni mtoto tu.Mtoto ni mtoto hata awe mkubwa kama Erik wa Yasii,ni mtoto tu.

Yasinta Ngonyani said...

Wajomba zangu, kwanza ahsanteni saba kwa kunipongeza kwa siku yangu hii. Na pia wote mnakaribi hapa kwetu ....nimeagizwa niandikw hivyo. Nami kama mama nasema ahsanteni kwa kujumuika nasi ni zawadi kubwa sana.

ray njau said...

Mama Erik;
Kwa niaba ya wajomba wote nachukua fursa hii kuwawakilisha hapa nikisema:"ASANTE SANA MAMA ERIK".

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Happy BD Erik. Mungu akuimarishe ufuate nyayo za wazazi wako.

Mija Shija Sayi said...

Erik hongera sana kwa siku hii kubwa kwako, Maombi yangu ni kwamba Mungu azidi kukulinda uje uisaidie jamii yako na familia yako pia hapo mbeleni.

Ninakutakia kila la heri Erik.

**sijui mama amekuandalia nini leo.. maana leo ni leo..!!

Justin Kasyome said...

Happy birthday! Then da Ysinta naomba uniandikie email, nina jambo nataka kukutumia kuhusu lugha yetu ya Kiswahili!kweye profile yako nimepata utata wa kupata email yako, nadhan ni kutokana na mfumo wa laptop yangu au uzoefu wa haya mambo ya teknohama!yangu ni justinkasyome@yahoo.com pia unaweza kunitembelea kwa www.swahiliabroad.blogspot.com

John Mwaipopo said...

hongera kaka erick. mungu akutangulie ktk mapito yako

Yasinta Ngonyani said...

Kwa niaba ya Erik anatoa shukrani nyingi sana kwa wote walio/wanaojiunga nasi kwa siku hii maalumu. Na kwa maombi yenu mazuri..Siku yangu imekuwa njema sana Nyumbani, Shuleni na mazoezini nimeimbiwa...Na kwa vile si mpenzi wa keki basi nimepata chakula kingine tu. ..Ngoja Nasi wazazi tuwashukuru kwa kuwa nasi ingawa si karibu sana nasi lakini kwa mawasiliano haya inaonekana ni karibu sana. AHSANTENI SANA. Kapulya...Oh ..naona kuna mgeni hapo juu..inspiration stories..karibu sana kibarazani...

MTU KWAO said...

LEO mimi kama mjomba namaliza kwa kusema tunawashukuru wote pamoja nami tumempa au kumtia moyo mtoto wetu ERIC najuwa atakuwa na makuzi na maadili bora toka kwa wazazi na hata toka kwetu ,"NARUDI KWAKO MJOMBA ERIC TUNAKUTEGEMEA KAMA MTOTO WETU MKUBWA WA KIUME NA FAMILIA INAKUPA KIPAUMBELE UWE MWEPESI WA KUJUA HASA HISTORIA YA WAZAZI WAKO NA WAPI WAMETO NINI WALIFANYA TUNAJUWA UTAKUJA KUWA MWANA HISTORY MZURI''
MIMI MJOMBA
CHE JIAH MTU KWAO

Yasinta Ngonyani said...

MTU KWAO!
Erik salamu zako amezipata na anasema ahsante sana kwa ushauri. Nasi wazazi tunashukuru sana kwa ushirikiano mliouonyesha kwetu kwa siku ya jana. AHSANTENI SANA.

Anonymous said...

Happy birthday Erick.
Dada Yasinta umempikia nini leo Erick amabchio mpaka sasa hujatuwekea hapa, angalau tuke kwa macho tu. Au umeoka na mmeishavimaliza vyote?

Rachel Siwa said...

Duuhh..natumaini sijachelewa saana...Hongera sana mwanangu Erik..MUNGU azidi kukubariki na kukulinda kila iitwapo leo...

Baba MTU KWAO[Che Jiah]..Asante sana..tupo pamoja, nilikuwa na kazi ya kuosha vyombo vya MZAZI KADALA..Si unajua wageni wamekuja wengi kumuona mtoto...

Anonymous said...

Hongera sana Erick.
Dada Yasinta, mapochopocho na madikodiko uliyompikia Erick yameisha? Mh nasubiria hapa kwa hamu utuwekee nasi tule angalau kwa macho birthday ya Erick.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ambalo hutaki tujue! Siku hii/hiyo sikupika kitu tulienda kula nje alichagua hivyo. Na hakutaka kupigwa picha na kana nilivyosema hapendi keki

Mama mdogo kachiki! Wala hujachelewa. Ahsante sana.

Usiye na jina! Sikupika kitu ..
Utanisamehe. Kama nilivyosema hapo juu ndivyo ilivyokuwa.

ISSACK CHE JIAH said...

LEO tumeshuhudia maoni mengi kwa besidai ya mjomba Eric kwani hii inaonyesha jinsi DADA unavyoishi na watu vizuri kama ungekodi ukumbi basi tungrjaa wana blog tuu dada na majirani wako sijuwi ungewaweka wapi sisi tunasema
PAMOJA DAIMA
CHE JIAH

MARKUS MPANGALA said...

Mungu akuongoza sana Erik, na muhimu asiache kucheza mpira wa miguu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka ISSACK CHE JIAH! Ahsante sana kwa yote na naamini tutaendelea kushirikiana kwa kila hali. Halafu umenichekesha kweli kuhusu kama ningekodi ukumbi...Naamini kweli pasingetosha.

Markus!!! Erik anasema haachi mpira na pia anashukuru kwa pongezi.

Mwanasosholojia said...

I see, nimechelewa kutoa hongera zangu za dhati kwa Erik kwa kutimiza miaka 13. Ni hatua kwa kweli. Hongera pia kwa wazazi kwa malezi na kumkuza Erik kimaadili.