Tuesday, June 11, 2013

HILI NI CHAGUA LA MAISHA NA MAFANIKIO:- WAREMBO WA WIKI NI HAWA!!!

Hili ni chagua la maisha na mafanikio ...nimependa vazi hili la asili..ni utamaduni na pia wanapendeza ebu angalia na useme lako....JUMANNE IWE NJEMA KWA WOTE....KAPULYA

8 comments:

ray njau said...

Utamaduni una nafasi yake na hii ni sehemu muhimu katika maisha na mafanikio.

Justin Kasyome said...

wametokelezea kweli hawa!kiutamaduni wamemeremeta!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray!...Mara nyingi najiuliza hivi kwanini wengi tunakimbilia nguo za mitumba? kwa nini tusivae zetu? Nalisifu sana kabila la KIMASAI kwa kudumisha utaduni wao.

Kaka Justin...ni kweli kiutamaduni wanameremeta na wanadumisha..

penina Simon said...

They are so cute, thanks Yasinta

ray njau said...

Yasinta;
Swali lako ni zuri na tuna wajibu kudumisha mavazi yetu kama tunavyofurahia vyakula vyetu.Mama mmoja hivi karibu alimwambia mke wangu kuwa mboga aipendayo na inayomfanya azidi kuonekana kijana ni mlenda.

emuthree said...

Hawa kweli ndio warembo WA KWELI

emuthree said...

Hawa kweli ndio warembo WA KWELI

Yasinta Ngonyani said...

emu-three! tena ni ule urembo wa asili. Pamoja daima