Sunday, June 23, 2013

NIPO NANYI KIAINA..NITARUDI KARIBUNI

 Ni hapa ninapumzika ni sehemu nzuri sana kupumzisha akili pia kuwa na familia. Hapa no summerhouse. Nitarudi karibini kuliko mdhaniavyo....panapo majaliwa jioni njema.
 
Na kizuri zaidi sikuhitaji kufunga safari kwenda beach ni dakika mbili tu...

4 comments:

Anonymous said...

Yasinta mie nna swali kwani huko summerhouse hakuna mtandao? au unaamua kuacha nyumbani computer ukapumzike tu? Pia tupe picha za huko pia.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina....naamua kucha komputer nyumbani.. natska kupumzoka tu na pia kwa simu haushiki vizuri...picga nyingine zitakuja nikienda tena usiwe na shaka

Mija Shija Sayi said...

Nakutakieni mapumziko mema Yasinta.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Mija...karibu kwetu!