Thursday, June 20, 2013

NIMEJITAHIDI KUIWEKA MAISHA NA MAFANIKIO KAMA MWANZO...

Ama kweli sijui ni nini kimetokea nimeanza kuwiweka tena kama zamani ila sijui kama itakuwa tena kama mwanzo...nasikitika kwa kilichotokea. Pamoja Daima!!!

3 comments:

Anonymous said...

Haya nafuu leo na pink imerudi pembeni.

Anonymous said...

Pole dada Yasinta! Nimefungua imetoka pinki tuu. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Halafu mnajua ilikuwa kama kufoka nyumbani na kukuta mlango mpya. Naona ninyi ndugu zangu mnakumbuka zaidi mwonekano wake nimejaribu iwe kama mwanzo ila nitaweza tu
Ahsanteni sana kwa kuwa nami.