Saturday, June 15, 2013

JUMAMOSI YA LEO TUTEMBELEE MJI WA IRINGA..NA WIMBO HUU...

JUMAMOSI IWE NJEMA KWENU WOTE...UJUMBE:- Tumaini huzaa Furaha, Furaha huzaa Amani

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana Kadala wa mimi..nawe iwe njema na familia.

Inspiration stories said...

nyimbo hii inanikumbusha mbali sana! ila ubunifu huu wa video nimeupenda sana! Haya na wew jumamosi njema kwako...

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi najua nimekupeleka kunyumba...:-)

Kaka Justin! nafurahi kama umekumbuka mbali na umeupenda ubunifu huu wa video hii...Ahsante