Sunday, June 16, 2013

UJUMBE WA JUMAPILI HII YA LEO NI HUU!!!!


Unapotafakari mema ya Mungu ya leo:-
WASAMEHE WALIOKUKOSEA,
WAKUMBUKE WALIOKUSAHAU na UILINDE AMANI YA MOYO ISIPOTEE.
Kwani utakuwa na furaha daima!!!

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA MWENYEZI MUNGU AWE NANYI!!!

4 comments:

Nicky Mwangoka said...

Na ubarikiwe kwa jumapili ilojaa utukufu wa mungu my dada.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky! Ni muda ulikuwa umepotea karibu sana na ahsante sana nawe iwe hivyo:-)

Mija Shija Sayi said...

Neno la msingi na la kulizingatia sana wakati wote hili si jumapili tu...

Hongera Da' Yas Kwa ujumbe.

Ubarikiwe sana.

EDNA said...

Amen ubarikiwe