Sunday, June 30, 2013

TUMALIZE JUMAPILI YA MWEZI NA NI DOMINIKA YA 13 YA MWAKA C NA WIMBO HUU!!!


Na ujumbe wangu ni TUSAMEHEANE KATIKA BWANA...JUMAPILI NJEMA NA TUTAONANA TENA JUMAPILI IJAYO KWANI NITAPOTEA KIDOGO WIKI IANZAYO KESHO.

6 comments:

Nancy Msangi said...

Tutamic mengi kweli wiki hii kutoka kwako twakutakia kila la heri huko uendako.

Nancy Msangi said...

Kila la heri dada.

Yasinta Ngonyani said...

Nancy! wala usikonde nitakuwa nanyi kinamna..Ahsante kwa kunitakia kheri. Kila la kheri nawe pia:-)

Nancy Msangi said...

Asante, pia tutashukuru ukiwa nasi jumapili njema.

Manka said...

Wiki moja naiona kama mwezi,tutakumiss kweli Dada Yasinta.Kila la heri huko uendako.

Yasinta Ngonyani said...

Nancy! Wala hutagundua sipo maana huwa nakuwa na siwi:-D

Manka! Usihofu nitakuwa nanyi kinamna..
Na manka ahsante