Thursday, June 20, 2013

TAARIFA:- JANA JIONI NIMESHTUSHWA SANA NA MWONEKANO HUU WA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO!!

Habari zenu ndugu zangu!
Jana jioni nilijikuta nashangaa au zaidi kama nimepotea pale nilipotembelea blog ya Maisha na Mafanikio. Nini kimetokea sijui kwa kweli ..Je kuna anayejua?...Natumaini ile rangi ya pink itarudi nawaomba kuwa na subira. Na endapo haitarudi basi nitafanya utafiti ni nini kimetokea na nitarekebisha.
Kama kunaanayejua nini kimetokea TAFADHALI tupeane habari.
NAWATAKIENI WOTE SIKU NJEMA.

2 comments:

Jumanne Sanga said...

Hi there!
Sasa nenda kwenye blogger, sign in,ukifanikiwa kufika kwa blog zako, over mouse kwenye mshale unaoonesha mwelekeko wa kushuka chini,utaona neno limetokea "More Action" hivyo bofya hapo utapelekwa kwa menu nyingine,bofya kwa template halafu fanya chaguzi yako kwa rangi ama mambo mengine

Yasinta Ngonyani said...

Jumanne! Ahsante kwa ushauri...nimejaribu kufanya na matokeo ndo hayo uyaonayo.