Showing posts with label TAMADUNI ZA KIMASAI. Show all posts
Showing posts with label TAMADUNI ZA KIMASAI. Show all posts

Thursday, April 5, 2018

WAREMBO WA WIKI...TUIGE MFANO WA NDUGU ZETU WAMASAI KWA JINSI WANAVYOTHAMINI MILA NA TAMADUNI

Inapendeza sana kuona bado kuna makabila/kabila wanadumisha/heshimu utamaduni wao. Nawatakieni kila la kheri kwa yote. PAMOJA DAIMA!