Showing posts with label mwisho wa mwezi wa tatu 2017. Show all posts
Showing posts with label mwisho wa mwezi wa tatu 2017. Show all posts

Friday, March 31, 2017

KUMBUKUMBU...VYAKULA NIVIPENDAVYO..MWISHO WA JUMA PIA MWEZI UWE MWEMA....


 Mboga ya maboga...Karibuni nitaanza bustani yangu hii ni kaka yangu kanitumia ili nitamani zaidi:-) na kweli nimetamani sana na mpaka nimepitiliza na kutamani .....
...ugali na mlenda pori..duh! nimekumbuka mbali sana.... kila la kheri na mwisho wa juma mwema  pia mwishi wa mwezi...