Showing posts with label lala. Show all posts
Showing posts with label lala. Show all posts

Wednesday, May 20, 2009

JINSI YA KUCHEZA NA HERUFI

NATAKA KUSEMA KWA YEYOTE YULE:-

U= Ulale

S= Salama

I = Ila

K= Kumbuka

U= Ukiamka

M= Mshukuru Mungu

W= Wako

E= Elewa kuwa

M= Mungu wako

A= Anakupenda