Showing posts with label KUTAMANI KULIMA BUSTANI. Show all posts
Showing posts with label KUTAMANI KULIMA BUSTANI. Show all posts

Thursday, April 2, 2015

NA TUANZE MWEZI HUU WA NNE KIHIVI:- KAPULYA AMEANZA KUTAMANI KUANZA KULIMA BUSTANI

Jinsi siku zinavyosogea kwa msimu wa bustani mikono yangu inazidi  kuwasha sana, na hivi nisemavyo nimekwisha anza atika  baadhi ya mbegu ..:-) Nasubiri kwa hamu sanaaaaa. ALHAMIS KUU IWE NJEMA KWA WOTE