Monday, July 5, 2010

Siri ya herufi ya mwanzo ya Jina lako

Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako.

>HERUFI A
>Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda.
>HERUFI B
>Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,
>HERUFI C
>Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,
>HERUFI D
>Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,
>HERUFI E
>Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,
>
>HERUFI F
>Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,
>HERUFI G
>Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,
>HERUFI H
>Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,
>HERUFI I
>Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka. Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,
>HERUFI J
>Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,
>HERUFI K
>Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha. Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,
>HERUFI L
>Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,
>HERUFI M
>Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI N
>Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe
>
>HERUFI O
>Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha
>HERUFI P
>Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa
>HERUFI Q
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba
>HERUFI R
>Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke
>HERUFI S
>Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani
>HERUFI T
>Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge
>HERUFI U
>Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.
>HERUFI V
>Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.
>HERUFI W
>Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.
>HERUFI X
>Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.
>HERUFI Y (YASINTA)
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda
>HERUFI Z
>Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ngombe.

Habari hii nimeipata Jamii Forum ......

32 comments:

EDNA said...

Herufi E ni ukweli mtupu kuhusu mimi hahaaaa.

Markus Mpangala said...

herufi M? nina nyota ya Ng'ombe. inakuwaje hapo? sijawa mropokaji, inakuwaje? KUHUSU MIMI, duh1 sijui yaweza kuwa siyo kila ndiyo ina ndiyo kiundani maana kuna ndiyo zingine huambatana na utani. kuona ni kuamini jamani. mie simoooo

Mija Shija Sayi said...

Mpangala kama ulikuwepo mawazoni mwangu na mimi nyota yangu ng'ombe na hizo tabia si zangu kabisa..

Hawa watabiri huwa ni wajanja sana.

Baraka Chibiriti said...

Nimeipenda sana hii, BBBBBBBB daima! Baraka

FeDë said...

Herufi zangu ni F & N
Kweli mimi ni Mtetezi, Mbunifu & Mwenye Mapenzi..!

Blackmannen said...

Ijapokuwa mimi siamini vitu kama hivi, lakini herufi "B" is him, I mean "Black=Blackmannen". Mtu yeyote akiisema vibaya "My Motherland, Tanzania", heri ajichimbie shimo afe kabla sijamweka mikononi...!!!

This Is Black=Blackmannen

emu-three said...

Unanikumbusha mbali yupo rafiki yangu alikwenda kwa mganga wa kienyeji kupiga ramli, alipofika hapo yule mganga akafanya mambo yake,

Kwa mwoga ukimona alivyokuwa akifanya utaogopa, akaanza kuonge,na kusema mchawi wako ni mrefu mfupi hivi, mnene mwembamba hivi,....

Unaona yeye anachofanya ni kuiteka nafsi yako, maana una pupa na umeogopeshwa, utabakia kujibu `taire' na akili yako itachukkua kile ulichokuwa nacho kuwa mchawi wako ni mrefu au ni mfupi,....yule yule uliyekuwa ukimzania au humpendi ndiye utamnyoshea kidole...

Sasa hizi nyota ziangalie kwa makini...ni yale yale, kama unaamini sio mbaya, kama huamini kalabagwe...

Diana james said...

Duh herufi D ni mimi kabisa kasoro biashara 2 ipo kushoto xana

pius mabulla said...

Mimi ni P, ila pia nimeangalia herufi za watu wangu kama, A, L, R, M na P. ni sahihi kabisa, ila ntafatilia nyota gan coz nyota yng ya kuzaliwa nyingne, nyota ya heruf pia nyngne.

Anonymous said...

J ni yangu, dah, tabia zangu hujakosea hata moja, some time naweza amka na nisijisikie kufanya kazi hadi jioni

Anonymous said...

Duu mimi ni "m" yaani nyota ya Punda na kwakweli nateseka sana hapa tandale sokoni kwa kubeba mizigo ya watu , kushusha kwenye malori nk. Je nikibadili jina kwa kubatizwa nitajikwamua? Balaaa,!

florian kessy said...

Nimefika I pendant hiyo

Mwampepe said...

ya ukweli hsyo au mnazingua

Anonymous said...

b yangu, achen utan. waongo,mbona yote ni ya kwel?

Bright said...

mi naxhndwa xema ka naamin, ila yaliyoelezwa ni kweli. B ni yangu Bright na mpenz wangu Bertha, xifa zote tunazo wote na nilkuwa na mpenz wang wa zaman mwenye heruf C anaitwa Clara, ila tuliacha kutokana na xifa zake kama zilivyotajwa kutofautiana. jaman, sa jaman kama herufi haziendan ndo mapenz yanajaa misukosuko?

Amosi Mmello said...

Aaahh ukweli mtupu kuhusu A I trust on it.

carena ester said...

Wow jaman n kwel kabsa mmjna langu n erica en caren

John Peter said...

Sina uakika
Jamani

meshack Shedrack said...

Kwamimi nimewini badokinunua garitu

Cytotec said...

good luck

Obat Telat Bulan said...

nice more info

Mussa Idd mdudu washa said...

Khaaaa hii kalinyeee...

Unknown said...

Nmeipenda B Na imeendana Na nyota yangu maana nyota yangu ni ng'ombe kweli

Adv Mpwapwa Bonifas J said...

Jamani B sina ubishi nayo BONIFAS

Adv Mpwapwa Bonifas J said...

Jamani B sina ubishi nayo BONIFAS

YUSUPH MAKISHE said...

Yasinta & Yusuf

Penirum Asli said...

Obat Pembesar Penis Asli Ampuh Aman
Obat Kuat Dan Pembesar Penis Asli Ampuh Aman
Obat Pembesar Penis Asli Ampuh AmanPenirum
Obat Penirum
Penirum Asli
Obat Penirum Asli
Penirum Asli Dan Palsu
Jual Obat Penirum
Jual Obat Penirum Asli
Jual Obat Penirum Asli Dan Palsu

jual hammer of thor di jakarta
jual hammer of thor di medan
jual hammer of thor di surabaya
jual hammer of thor di tangerang
jual hammer of thor di samarinda
jual hammer of thor di pekanbaru
jual hammer of thor di bali
jual hammer of thor di semarang
jual hammer of thor di jogja
jual hammer of thor di bekasi
jual hammer of thor di depok
jual hammer of thor di bogor
jual hammer of thor di makassar
jual hammer of thor di solo
jual hammer of thor di banjarmasin
jual hammer of thor di karawang
jual hammer of thor di sidoarjo
jual hammer of thor di serpong

Obat cytotec said...

thank blog

cytotec said...

This is very nice one and gives indepth information. Thanks for this nice article.

Obat Pasutri said...

Jual Vimax Asli Canada Di Medan

Jual Obat Pembesar Penis Di Bali

Jual Obat Kuat Anabolic Rx24 Di Bali

Jual Obat Penirum Di Bekasi

Jual Obat Kuat Viagra USA 100mg Di Batam

Jual Obat Kuat Di Surabaya

Jual Vimax Asli Canada Di Surabaya

Jual Obat Kuat Anabolic Rx24 Di Surabaya

Jual Obat Kuat Viagra USA 100mg Di Medan

Jual Obat Kuat Di Medan

putrashop said...

Jual Vimax Izon Asli Canada Di Surabaya

Jual Vimax Izon Asli Canada Di Sidoarjo

Jual Vimax Izon Asli Canada Di Medan

Jual Testo Ultra Asli Di Surabaya

Jual Obat Kuat Viagra USA Asli Di Medan

Jual Obat Kuat Viagra USA Asli Di Surabaya

Jual Hammer Of Thor Obat Kuat Di Bali

Jual Hammer Of Thor Obat Kuat Di Medan

Jual Hammer Of Thor Obat Kuat Di Sidoarjo

Jual Obat Forex Asli Di Surabaya