Wednesday, December 16, 2009

NGOJA TUANGALIE PICHA ZA LEO!!!!!


Hapa ni Septemba 2009 mwanadada ana manywele ya ajabu kichwani kwake. Na inaonekana kama anafanya kazi ya kublog.

Na hapa ni 16.Desemba 2009 yaani leo Jumatano mwanadada anaonekana ni mwafrika/mTanzania mwanaafro KABISA:-)
Swali je? picha ipi ni bora kuliko nyingine? au tuseme mwanadada awe na nywele za aina gani?

28 comments:

Faith S Hilary said...

Hiyo picha ya kwanza unaonekana kama upo kwenye jumba la Big Brother..hehehehehe...jamani mnaona eh? na nywele zote zimekupendeza dada...you gotta change sometimes

Simon Kitururu said...

Mimi bado namuangalia midomo Mwanadada sijafika kwenye nywele !


Na wakati nafanya hivyo nachofikiria siri yangu !:-(

Anonymous said...

Picha ya pili, nywele za mwanadada zimenikosha!

Koero Mkundi said...

dada picha ya kwanza ndio bora, ulipendeza sana na hizo rasta za kimasai, naamini hizo rasta ulisuka huku nyumbani Tanzania...LOL

Sijui utapata wapi msusi mwingine....au na huko kuna wamasai...LOL

I love you my Sister....

Kibunango said...

Sina la kuchangia

Mzee wa Changamoto said...

Mkodo we "kiazi" kwelikweli. Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa.
Comment yangu kwenye hizi picha ni "no comment"
Asenti

Koero Mkundi said...

Nimerudi tena, nilisahau kumuuliza Kitururu....
Kitururu: kaka yangu hebu ngoja kwanza nikunukuu: "Na wakati nafanya hivyo nachofikiria siri yangu !:-(" Mwisho wa kunukuu...
Sasa hebu nidokeze unachofikiri ni kitu gani hasa kaka yangu?

Naomba utushirikishe wadau ili tufikiri kwa pamoja maana huenda mwenzetu unafaidi peke yako...LOL

Halil Mnzava said...

Picha zote ni nzuri!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Yasinta: bado sijapata jibu: twaulizwa picha gani ni bora ama ni nywele gani ni bora....lol

manake picha na maelezo zinaelekeza tafakuri ya nywele....lol

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

lazima unatembelea blog ya kufikirisha juu ya siasa kwa mzee wa c/moto au mbelee. ingekuwa ya kitururu ungekuwa unacheka cheka hovyo. si inatekenya ile ehe?

Rose said...

mh! kwakweli mi naona zote ziko bomba ile mbaya.

MARKUS MPANGALA said...

mwenye macho............
labda mimi nitazama PUA ilivyo.... ila nami sitasema ninachofikiria

Unknown said...

Sijui niseme nini!?

MARKUS MPANGALA said...

> Kaluse sema unachofikiria kabla hujajua kama unafikiria....Lol....

www.tanzaniasports.com said...

Nilikuwa naangalia gharama za kusafiri kuja kutembea Sweden..Mhhhhhhh

Mija Shija Sayi said...

Zote ni bomba ile mbaya, labda kata nywele ili tuzidi kulinganisha..

Anonymous said...

hakuna hata moja uliyopendeza hapo. labda jaribu kunyoa nywele zote (zungu)

MARKUS MPANGALA said...

SAMAHANI KWA MNURURISHO UFUATAO;
dada Mija anasema kunyoa nywele, halafu kuna asiyejulikana huyo anasema kunyoa zungu...duh! nilidhani kunyoa afrikia???/ aaaah ok. kumbe ile kunyoa TAKO?

mumyhery said...

Zote ziko bomba

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

moja ilipigwa wakati ametia mekapu na nyingine akiwa nachuro (nadhani alikuwa ametoka kuoga)....lol


sasa ipi nzuri ya mekapu ama ya nachuro?....lol

Mzee wa Changamoto said...

Picha nzuri ni ile ambayo unapigwa punde unapokurupushwa. Yaani kabla hujajua kuwa mpigaji ana kamera.
Ama ile itakayokutaimu wakati unapiga chafya. Hizi mbili ndio hasa zinazoonesha UASILI wako maana katika haya huwezi kujibadili.
Kama unayo ya hivyo ongeza hapa tuweze kufananisha zaidi.
Nadhani ntapenda utakayokuwa unapiga chafya.
Just trying to be optimistic

Anonymous said...

picha zote mbili ni bomba sana dadangu, ila inategemea jicho la mtazamaji ameegemea upande gani kwa wale wanaopenda vitu halisi ni wazi ataikubali ya pili kuliko ile ya kwanza ambayo inanwyele bandia na ambazo huwazingua wengi kwani kipya kinyemi,binafsi napenda sana kitu halisi.

Yasinta Ngonyani said...

Asanteni wote kwa kuzipenda hizo taswira. Kusema kweli kupata msusi huku ni kasheshe sana ndio maana huwa nakaa na minywele muda mrefu ni kweli nilisuka nyumbani Tanzania. Labda nifuate ushauri wa Chacha na Da mija ninyoe kama Flaviana Matata....LOL. Shukrani woooooooote.

Unknown said...

tunapo zungumzia nywele tuzungumze nywele tu natukizungumza kamba au nyuzi tutambuie baina ya nywele na nyuzi huwezi kufananisha nywele ni necture yani zime tulia

smesmaez said...

official source Louis Vuitton replica Bags here bags replica ysl click site high quality designer replica

kasesl said...

click for more info cheap designer bags replica find out here her response straight from the source pop over to this site

Unknown said...

click for more info our website anchor why not try this out news best replica bags

sloonat said...

my response y8g93j8p38 replica louis vuitton bag replica bags aaa a8x84h6j42 replica bags on amazon hermes fake c0y81y6k27 replica bags online replica goyard bags replica gucci bags u8z05m3r69 zeal replica bags