Sunday, December 13, 2009

Hongera kaka John Mwaipopo kwa kuongeza mwaka"!!!


Katika pitapita zangu nimekuta kaka mwaipopo anatimiza miaka leo. Lakini sijui
ni miaka mingapi umetimiza?. Hongora kaka JOHN KWA SIKU HII MAALUMU.

14 comments:

Simon Kitururu said...

Hongera MKUU na ungekuwa karibu kwa kuwa weye mnywaji kama mimi, tungeinywea siku!

chib said...

Hongera tena kupitia hiki kibaraza. Ila ushauri wa kusheherekea kwa kinywaji, kazi hapo...

Simon Kitururu said...

@Mkuu CHIB: Umenifanya nijisikie vibaya labda itabidi niende kanisani kutubu na kunyweshwa mvinyo lakini mara hii mvinyo utakuwa ni kielelezo cha damu ya Bwana . Poleni Wakatoliki kwa kuwa nasikia mvinyo wenu anaunywa Padre:-(

Pamoja na madoido ya sentensi LAKINI nimepata ujumbe MKUU.:-(

Mija Shija Sayi said...

Hongera Mwaipopo.

Anonymous said...

John, hongera kwa kushereheka! Endelea kuwepo mkuu, uwe na afya njema na mfanikio mema tele!

Unknown said...

Hongera kaka Mwaipopo kwa kuendeleas kukua......

Koero Mkundi said...

Kaka naona unaanza kuzeeka sasa, je umeandaa mkongojo?
Nakutakia maisha mema na afya tele

Ramson said...

HONGERA KAKA, NAONA MIAKA INAZIDI KUKATIKA, NA UMRI UNAZIDI KUSONGA MBELE, NAKUTAKIA MAISHA MAREFU........HONGERA KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@ Mwaipopo, hongela saaana

@ Mt simon, muungamishaji nipo hivo usitie shaka kwa kuwa paroko mstaafu bado nipo nipo sana!...lol

katika kiungamio tutapata mvinyo pia ambao wakati wa misa huwa hampati ama mwaonjeshwa....lol

John Mwaipopo said...

asanteni ndugu zangu. nilifika dar es salama kutoka mbeya. siku hizi ni masaa 13 mpaka 14.

@ mtakatifu simeone niliungana nawae katika komunio ya ze ugimbi.

@ dada koero mkongojo bado ila ni wakati sasa nianze kuuandaa ha! ha! ha!

@ wengine woote big up!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

kaburi la mwili, na nyumba ya wewe halisi

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mwaipopo ntakuhitaji katika kijumba cha maungamo....lol

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana kaka Mwaipopo lakini hujaniambia ni miaka mingapi unayo...lol

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@Yasinta, ngojea akiungama ntakwambia...lol