Showing posts with label ZAWADI YA DAGAA NYASA. Show all posts
Showing posts with label ZAWADI YA DAGAA NYASA. Show all posts

Friday, May 19, 2017

NIMETUMIWA ZAWADI YA DAGAA NYASA

Ukiwa na hamu ya vyakula vya nyumbani na marafiki wanakutumia ni raha sana. Leo nimebahatika kutumiwa dagaa nyasa  na rafiki yangu mpendwa ....angalao nile kwa macho:-(. IJUMAA NJEMA KWA WOTE.