Friday, May 19, 2017

NIMETUMIWA ZAWADI YA DAGAA NYASA

Ukiwa na hamu ya vyakula vya nyumbani na marafiki wanakutumia ni raha sana. Leo nimebahatika kutumiwa dagaa nyasa  na rafiki yangu mpendwa ....angalao nile kwa macho:-(. IJUMAA NJEMA KWA WOTE.

No comments: