Wednesday, May 3, 2017

PALE MNGONI ANAPOTAMANI KWAKE RUHUWIKO KULA ALIVYOPANDA

KAZI YA MIKONO YANGU ..NDIZI

Mtoto wa mkulima ni mkulima. Utakula ulichopanda, lakini pia mkulima ni mmoja lakini walaji wengi. leo nimeikumbuka sana migomba yangu  nakula kwa macho tu:-)

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

pole mwayego hata mimi umenitamanisha sasa...

ray njau said...

NI KWELI DADA YANGU YASII1!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi...itabidi tufunge safari pamoja. ...
Kaka Ray ....nimekumiss