Wednesday, May 10, 2017

KWANINI KHANGA LISIWE VAZI LA TAIFA TANZANIA?


Wakina mama wa Kitanzania wakiwa na vazi la Khanga,kwa mfano kama tukipendekeza vazi la taifa liwe khanga hivi kuna ubaya?

2 comments:

Pius Chaula said...

Linaweza likawa vazi la taifa ila embu tizama matumizi yake kwa sasa yapoje hapa nchin utaona thahiri kwamba watu wanalichukulia kama vazi la kuwatamanisha wanaume au kutuweka katika hali ya majaribu sasa ni matumizi mabaya ya vazi hili na kulishusha thamani.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Pius usemalo nalo ni kweli lakini labda likiwa vazi la kitaifa litaheshimiwa na kuwekewa thamani