Nimeiangalia hii picha na kumpongeza huyu mama watoto wanne na yeye mwenyewe jumla ni watu watano kwa baiskeli moja ....Duh! maisha haya kaaazi kwelikweli...lakini hata hivyo kilichonifanya niipende picha hii ni nyuso zao wanaonekana wenye furaha na amani pia.....UJUMBE:- UKIWA NA FURAHA PIA AMANI MAISHA HUWA RAHISI KUYAKABILI. KAPULYA WENU.
No comments:
Post a Comment