Hapa ni kilimo cha maksai katika kijiji cha Lundo Wilaya ya Nyasa
Na hapa ni Beach ya BioCamp-Kijiji cha Ndengere Wilaya hiyo hiyo ya Nyasa... yaani nimefurahi, furahi mno kupata tena taaswira ya vijiji hivi Ndengere, Lundo, nk...ni sehemu zangu nilizokulia yaani nimekumbuka mengi sana hasa mlo wa samaki na ugali wa mhugo:-) hapa ndipo nilikotoka...