Mbinga , Ni Wilaya moja kati ya wilaya tano za Mkoa wa Ruvuma wa Tanzania Ambayo upande wa kaskazini umepakana na Mkoa wa Njombe, upande wa mashariki na wilaya ya Songea Vijijini na Wilaya ya Songea Mjini, upande wa kusini na Msumbiji na wa magharibi na Ziwa Nyasa