Wednesday, September 14, 2016

LEO TUTEMBELEE KWETU MBINGA... KWA NDUGU ZETU WAMATENGO


Mbinga ,  Ni Wilaya  moja kati  ya wilaya tano za Mkoa wa Ruvuma wa Tanzania Ambayo upande wa kaskazini umepakana na Mkoa wa Njombe, upande wa mashariki na wilaya ya Songea Vijijini na Wilaya ya Songea Mjini, upande wa kusini na Msumbiji na wa magharibi na Ziwa Nyasa

1 comment:

Erica Gerald said...

Hello. Nimekutext kwa email yako mtiki1000@gmail.com but seems haipo. Ningependa nipate contact zako kuhusu kilimo cha tikiti, 0716 684272_erica