Thursday, September 15, 2016

VITU VYA ASILI NI VIZURI SANA ANGALIA HIKI KITANDA...PICHA YA WIKI HII...

Napata raha sana nionapo vitu kama hivi...Kitanda hiki kimetengenezwa kwa miti ya asili angalia mwenyewe..kazi ya mikono ya mtu fulani....
TUPO PAMOJA DAIMA.....KAPULYA

2 comments:

ray njau said...

Asili ni njema sana.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray...hakuna kitu kizuri na chema kama cha asili...