Friday, September 30, 2016

TUMALIZE MWEZI HUU WA TISA NA BURUDANI YA NGOMA YA ASILI YA MGANDA KUTOKA LUDEWA


Wiki, mwezi ndo unaisha  sasa hivi utastukia mwaka pia umeisha. Nahisi wote mwezi huu unaisha mkiwa na afaya njema. Binafsi nipo salama...Haya tuendelee na hiyo ngoma stepu yako wee moja mbili tatu....usisahau mkia na kipenenga.... mwisho wa juma pia mwezi uwe mwenye amani na upendo...Kapulya

2 comments:

NN Mhango said...

Hii kitu asili yake si Ludewa bali ng'ambo ya ziwa yaani kule ku dziko la Malawi. Zikomo kwa mbiri mai.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango upo sahihi..ni kweli asili yake huko malawi enzi zile walisemaga kwa Banda..si unakumbuka alivyokuwa akipenda kihoda:-) muli bwanji