Friday, September 2, 2016

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO KUTOKA KWA NAMCHUNGA KOMBA AIDS IMALA VANDUGHA KWA LUGHA YA KINGONI IKIWA NA MAANA AIDS INAMALIZA WATU...


Wimbo unasema hivi...Sema haraka tutakutwa na watu maana tupo njian. tembea haraka haraka ni njiani tutakutwa na watu. Fanya haraka haraka tutakutwa. Aids inamaliza watu, wengine wanafuta mali, wengine wanafuata pesa, wengine wanakufa wanaacha watoto, wengine wanakufa wanaacha magofu,wengine wanakufa wanaacha mama, wengine wanakufa wanaacha baba. Wengine wanapata wanakocheza ngoma, wengine wanapata wanakokunywa pombe/komoni, wengine wanapata wanakotafuta kazi, wengine wanapata wanakotafuta samaki. Aids inamaliza watu.

3 comments:

ray njau said...

Asante kwa wimbo wa Kingoni.
Uwe na wikiendi njema kifamilia.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Njau. ..utamaduni oyeee...uwe na wikiendi njema kifamilia pia. PAMOJA DAIMA!!

NN Mhango said...

nyimbo iyi ndi ya bwino! Kumbe ni wale wale! Ruvuma muli bwanji? Mu Kanada ndi bwino. Ngugu zangu wa Zim. Muve na zuva ra kanaka. Pale Zambia totela ba yaweh; shana, chindika, imbila ba yaweh.