Monday, September 12, 2016

JUMATATU YA LEO TUANZENA UJUMBE HUU...KAMWE USISAHAU HIZO AINA TATU (3) ZA WATU MAISHANI MWAKO

1. Mtu ambaye ame/alikusaidia katika /ulipokuwa na wakati mgumu.

2. Mtu aliyekuacha ukiwa na wakati mgumu.

3. Mtu aliyekuweka katika wakati mgumu.
DAIMA  PAMOJA ....KAPULYA WENU!!3 comments:

Anonymous said...

Kweli kabisa da Yasinta. Nawapa mkono wa IDD MUBARAK kwa wasomaji wote! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Oh..kaka Salumu...ahsante. pia ahsabte kwa kutupa mkonovwa IDD MUBARAK.....

Kelvin Yona said...

kweli