Saturday, September 24, 2016

JUMAMOSI NJEMA ....KARIBUNI CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA...............!!

Nimeukumbuka LUNDO -NYASA kwetu kule Mbamba bay ugali wa muhogo na dagaa  na ukikosa dagaa samaki ....mmmhhhh naweza kusema ndicho chakula nikipendachona kilichonikuza....
JUMAMOSI NJEMA.

2 comments:

NN Mhango said...

Hao chamaki wache wee! Ukipiga hiyo na kaugali si unalala kama umekula madawa ya kulevya. Oh sweet home!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango...Nchomba/chamaki/somba... hakika ni kweli ukila hapo lazima utalala....Nyumbani ni numbani nimekumbuka sana