Showing posts with label mrembo wa wiki. Show all posts
Showing posts with label mrembo wa wiki. Show all posts

Thursday, August 14, 2014

NI CHAGUA LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII IWE PICHA YA WIKI ..UREMBO!!!

Kama watu wasemavyo ukitaka kupendeza basi  inabidi uvumilie....na urembo hauna utoto wala uzee. Nimependa hii picha maana ipo kiasili kabisa. Ila sijui anavua anapolala?